Recent Submissions

  • LUGHA YA KISWAHILI KATIKA TAMASHA ZA DRAMA NCHINI KENYA: KUSTAWI AU KUDUMAA? 

    Waititu, Francis G (Mount Kenya University, 2015-10)
    Tamasha za drama ambazo hufanywa kila mwaka nchini Kenya ni mojawapo ya nyenzo zilizowekwa na wizara ya Elimu nchini kutoa elimu kwa vijana. Tamasha hizi ambazo zinajumuisha wanafuzi kutoka shule za malezi, msingi, ...
  • LUGHA NA UTAMBULISHO: TOFAUTI KATIKA MATUMIZI YA KISWAHILI NCHINI TANZANIA NA KENYA 

    Mohochi, Sangai (Mount Kenya University, 2015-10)
    Matumizi ya lugha moja hutofautiana kwa kutegemea mambo kama vile umri, jinsia, tabaka na maeneo ya kijiografia miongoni mwa mengine. Matokeo ya hali ni kuwa matumizi ya lugha huishia kutoa mchango mkubwa katika utambulisho ...
  • LEKSIKOGRAFIA YA UUNDAJI KAMUSI NA KISWAHILI 

    Maina, Rachel (Mount Kenya University, 2015-10)
    Picha katika kamusi huwasilisha maana sawa na maneno. Japo leksikografia inahusu maneno, na hivyo hutumia maneno kuelezea maana, wakati mwingine inabidi kutumia mbinu mbadala ambazo zitafanya maana kueleweka vizuri zaidi.
  • LEKSIKOGRAFIA YA NADHARIA NA KISWAHILI 

    Nyangeri, Nahashon Akungah (Mount Kenya University, 2015-10)
    Lugha ya Kiswahili inadhihirisha utajiri mkubwa ambao haujafumbatiwa na wanaisimu kikamilifu. Utajiri wenyewe unadhihirika kutokana na wingi wa lahaja zake. Hii ina maana kwamba ikiwa kutaandikwa kamusi kamilifu ya ...
  • KUKAKAMAA KWA WAJIPATIAJI WA LUGHA YA KISWAHILI KAMA LUGHA YA PILI: MIFANO KUTOKA KWA JAMII YA WAKINGA 

    Msigwa, Arnold B.G. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Wajipatiji wa lugha ya Pili hukabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa ujipatiaji wa lugha hiyo.
  • KUFUWAWA KWA MIIKO YA SANAAJADIIYA KATIKA LUGHA ZA KIAFRIKA 

    Kisanji, Joachim A. N.; Mganga, Yusta (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii inajadili kipera cha Miiko katika sanaajadiiya ya Lugha za Kiafrika. Miiko ni kipera kimojawapo cha sanaajadiiya ambacho kimesahaulika na wasomi hali inayosababisha Kufuwawa kwa miiko yenyewe katika matumizi ...
  • KISWAHILI NA UTAFITI 

    Wafula, Magdaline Nakhumicha (Mount Kenya University, 2015-10)
    Kiswahili ni miongoni mwa lugha maarufu ulimwenguni kutokana na matumizi yake mapana. Aidha, kimepata hadhi ya kuwa lugha ya kimataifa kutokana na ukwasi wake kimsamiati, kiistilahi na kimaandishi. Ongezeko la wataalamu ...
  • KISWAHILI NA MAENDELEO YA KIJAMII 

    Muhidin, Zahor Mwalim (Mount Kenya University, 2015-10)
    Wazanzibari hupenda kuchanganya lugha. Mara nyingi, wao huchanganya lugha ya Kiswahili, Kiingereza na Kiarabu. Mtindo huu unaweza kuthibitishwa kihistoria kutokana na athari ya mchanganyiko wa Waswahili wa Zanzibar na ...
  • KISWAHILI NA MAENDELEO YA DINI 

    Kevogo, Alex Umbima (Mount Kenya University, 2015-10)
    Kuna uhusiano baina ya kuenea kwa dini na kuenea kwa lugha. Kuenea kwa dhehebu la Kikatoliki na madhehubu mengine ya Kiprotestanti kulifanikisha kuenea kwa Kispanyola na Kiingereza katika maeneo ya Marekani Kusini, Afrika ...
  • JUKUMU LA VYOMBO VYA KIELEKRONIKI KATIKA UKUZAJI NA UENDELEZAJI WA FASIHI YA WATOTO 

    Ibala, Harriet K. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii itaangazia jukumu la vyombo vya kielektroniki, kama vile runinga, redio na mtandao katika kukuza na kuendeleza fasihi ya watoto. Hizi ni kazi za fasihi zinazowasilishwa na watoto wenyewe au na watu wazima, ...
  • ISTILAHI IBUKA ZA TAALUMA ZA KISWAHILI VYUONI AFRIKA MASHARIKI 

    Kevogo, Stanley Adika (Mount Kenya University, 2015-10)
    Takribani taasisi zote za elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki zimetekeleza mhamo wa ruwaza kutoka ufundishaji taaluma za Kiswahili kwa kutumia Kiingereza kwenda ufundishaji kwa kutumia Kiswahili chenyewe.
  • HALI YA LUGHA INAYOTUMIWA KATIKA MATANGAZO YA KIBIASHARA NCHINI KENYA 

    Ibala, Harriet K. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii itatalii matangazo mbalimbali ya kibiashara yanayotumia lugha ya Kiswahili katika vyombo vya habari, magazeti na mabango ya kibiashara nchini Kenya. Baadhi ya masuala yatakayochunguzwa ni pamoja na usanifu wa ...
  • FASIHI: MUZIKI NA FASIHI YA KISWAHILI 

    Mulongo, Meshack Onzere (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii imetokana na utafiti uliotathmini mchango wa muziki wa kizazi kipya katika ufundishaji wa ushairi wa Kiswahili kwa wanafunzi katika shule za sekondari nchini Kenya.
  • FASIHI YA WATOTO 

    Bakize, L.H. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Riwaya ya kihistoria katika fasihi ya watoto ni utanzu unaopendwa na watoto, wazazi na walimu huko Ulaya na Marekani. Utanzu huo unapendwa hasa darasani kwa sababu umekuwa nyenzo muhimu katika kufundishia watoto masomo ...
  • FASIHI YA KISWAHILI NA MUZIKI WA ZILIZOPENDWA: UKOMBOZI WA KISIASA AFRIKA 

    Mahenge, Elizabeth (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii inachambua dhamira ya mapambano ya kujikomboa kati ya Waafrika na wakoloni waliowatawala kisiasa katika bara la Afrika.
  • FASIHI SIMULIZI KATIKA MUKTADHA WA UANUWAI WA KIMAWASILIANO NCHINI KENYA 

    Mumbo, Collins Kenga (Mount Kenya University, 2015-10)
    Abstract
  • FASIHI ANDISHI YA KISWAHILI NA DINI: MIFANO YA RIWAYA ZA SAID AHMED MOHAMED NA EUPHRASE KEZILAHABI 

    Osore, Miriam (Mount Kenya Univesity, 2015-10)
    Wataalamu wengi kama Ngugi wa Thiong’o na Alter (1981) wanaona kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya itikadi ya kidini, maandishi ya kidini na utunzi wa fasihi. Hii inamaanisha kwamba watunzi wa kazi za kubuni hurejelea ...
  • DHIMA YA TAFSIRI KATIKA KUFANIKISHA UFUNDISHAJI WA ISIMU KATIKA VYUO VIKUU 

    Owala, Silas (Mount Kenya University, 2015-10)
    Ufundishaji wa isimu hutegemea tafiti ambazo zimefanywa katika sehemu mbalimbali ulimwenguni. Hii ni kwa sababu matokeo ya kiisimu hutokana na lugha hai mbalimbali zaidi ya elfu sita ambazo hupatikana duniani.
  • DHIMA YA MIANZO NA MIISHO KATIKA NATHARI ZA WATOTO: MIFANO KUTOKA NATHARI ZA KISWAHILI NCHINI TANZANIA 

    Lyimo, B. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Fasihi ya watoto ni fasihi ambayo walengwa wake wakuu ni watoto. Fasihi hii ina umuhimu katika jamii kwa sababu ina dhima mbalimbali. Pamoja na umuhimu wa fasihi ya watoto katika jamii, fasihi hii ilichelewa kutambuliwa ...
  • CHIMBUKO LA METHALI KATIKA KINAANDI 

    Jescah, Naomi C. (Mount Kenya University, 2015-10)
    Makala hii itaangazia chimbuko la “kalewenoik” yaani methali za Kinaandi huku ikijaribu kubainisha hadhira iliyotungiwa methali hizo na utendakazi wake.

View more